Matangazo



1.MKESHA WA KUFUNGA NA KUOMBA MASAA 24 KWA WANAPSA WANAOKWENDA MAFINGA KWENYE MKUTANO UTAFANYIKA KANISA LA T.A.G SEMTEMA KWA PASTOR PAUL
2.MKESHA MKUBWA TUMAINI UTAFANYIKA TAR 14 JUNE 2013
3.MAOMBI YANAENDELEA FIKA BILA KUKOSA (JUMATATU,TUMATANO NA IJUMAA) KILASIKU SAA 12:30 HADI 1:30 ASUBUHI
4.UCHAGUZI WA WILAYA UTAFANYIKA TAR 26 MAY 2013 RUAHA UNIVERSITY
5.KATIBU WA WILAYA NDUGU BRITON FRANCIS ANAUMWA MALARIA ANAHITAJI MAOMBI YENU
FRAITON SIMON
by Katibu tawi Tumaini

No comments:

Post a Comment